Law. 13:16-18 Swahili Union Version (SUV)

16. Au kama hiyo nyama mbichi iligeuka tena, na kugeuzwa kuwa nyeupe, ndipo atamwendea kuhani,

17. na huyo kuhani atamwangalia; na tazama, ikiwa hilo pigo limegeuzwa kuwa jeupe, ndipo huyo kuhani atasema kuwa yu safi huyo aliyekuwa na pigo; yeye yu safi.

18. Tena mwili wa mtu utakapokuwa na jipu katika ngozi yake, nalo limepoa,

Law. 13