Law. 10:7 Swahili Union Version (SUV)

Wala hamtatoka nje mlangoni mwa hema ya kukutania, msije mkafa; kwa sababu mafuta ya kutiwa ya BWANA ya juu yenu. Nao wakafanya kama hilo neno la Musa.

Law. 10

Law. 10:1-9