Law. 1:2 Swahili Union Version (SUV)

Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtu wa kwenu atakapomtolea BWANA matoleo, mtatoa matoleo yenu katika wanyama wa mifugo, katika ng’ombe na katika kondoo.

Law. 1

Law. 1:1-6