Kut. 9:7 Swahili Union Version (SUV)

Farao akatuma watu, na tazama, hapana mmoja aliyekufa katika wanyama wa wana wa Israeli. Lakini moyo wa Farao ulikuwa mzito, wala hakuwapa hao watu ruhusa waende zao.

Kut. 9

Kut. 9:4-17