Kut. 9:34 Swahili Union Version (SUV)

Farao alipoona ya kwamba mvua na mvua ya mawe na ngurumo zimekoma, akazidi kufanya dhambi, na kuufanya moyo wake mzito, yeye na watumishi wake.

Kut. 9

Kut. 9:25-35