Kut. 9:14 Swahili Union Version (SUV)

Kwani wakati huu nitaleta mapigo yangu yote juu ya moyo wako, na juu ya watumishi wako, na juu ya watu wako; ili upate kujua ya kuwa hapana mmoja mfano wa mimi ulimwenguni mwote.

Kut. 9

Kut. 9:7-19