Kut. 8:20 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akamwambia Musa, Inuka asubuhi na mapema usimame mbele ya Farao; angalia! Atoka aende majini; kamwambie, BWANA asema, Wape watu wangu ruhusa waende zao, ili wanitumikie mimi.

Kut. 8

Kut. 8:17-21