Kut. 39:41 Swahili Union Version (SUV)

na mavazi ya kazi nzuri kwa utumishi katika mahali patakatifu, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.

Kut. 39

Kut. 39:31-43