Kut. 37:16 Swahili Union Version (SUV)

Kisha, vile vyombo vilivyokuwa juu ya meza, sahani zake, na miiko yake, na bakuli zake, na makopo yake ya kumiminia, akavifanya vya dhahabu safi.

Kut. 37

Kut. 37:14-24