Kut. 36:32 Swahili Union Version (SUV)

na mataruma matano kwa mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa hizo mbao za maskani zilizokuwa upande wa nyuma kuelekea magharibi.

Kut. 36

Kut. 36:27-38