Kut. 35:24 Swahili Union Version (SUV)

Kila mtu aliyetoa toleo la fedha, na la shaba, akaileta sadaka ya BWANA; na kila mtu, aliyeona kwake mti wa mshita kwa kazi yo yote ya huo utumishi, akauleta.

Kut. 35

Kut. 35:18-34