Kut. 34:28 Swahili Union Version (SUV)

Naye alikuwa huko pamoja na BWANA siku arobaini na masiku yake; hakula chakula, wala hakunywa maji. Naye akaandika katika hizo mbao, hayo maneno ya maagano, hizo amri kumi.

Kut. 34

Kut. 34:26-35