Kut. 32:30 Swahili Union Version (SUV)

Hata asubuhi yake Musa akawaambia watu, Mmetenda dhambi kuu; na sasa nitakwenda juu kwa BWANA, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.

Kut. 32

Kut. 32:28-35