Kut. 30:36 Swahili Union Version (SUV)

nawe baadhi yake utayaponda sana, na kuyaweka mbele ya ushuhuda ndani ya hema ya kukutania, hapo nitakapokutana nawe; nayo yatakuwa kwenu matakatifu sana.

Kut. 30

Kut. 30:32-38