Kut. 30:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Nawe fanya madhabahu ya kufukizia uvumba; utaifanyiza kwa mti wa mshita.

2. Urefu wake utakuwa dhiraa moja, na upana wake dhiraa moja; itakuwa mraba; na kwenda juu kwake dhiraa mbili; pembe zake zitakuwa za kitu kimoja nayo.

Kut. 30