Kut. 28:29 Swahili Union Version (SUV)

Na Haruni atayachukua majina ya wana wa Israeli katika kile kifuko cha kifuani cha hukumu juu ya moyo wake, hapo atakapoingia ndani ya mahali patakatifu, kuwa ukumbusho mbele ya BWANA daima.

Kut. 28

Kut. 28:22-39