Kut. 25:39-40 Swahili Union Version (SUV)

39. Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote.

40. Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, ulioonyeshwa mlimani.

Kut. 25