Kut. 23:7 Swahili Union Version (SUV)

Jitenge mbali na neno uongo; wala wasio hatia na wenye haki usiwaue; kwa kuwa mimi sitamhesabia haki yeye aliye mwovu.

Kut. 23

Kut. 23:1-15