Kut. 20:12-16 Swahili Union Version (SUV)

12. Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

13. Usiue.

14. Usizini.

15. Usiibe.

16. Usimshuhudie jirani yako uongo.

Kut. 20