Kut. 17:7 Swahili Union Version (SUV)

Akapaita mahali pale jina lake Masa, na Meriba; kwa sababu ya mateto ya wana wa Israeli, na kwa sababu walimjaribu BWANA, wakisema, Je! BWANA yu kati yetu au sivyo?

Kut. 17

Kut. 17:4-11