Kut. 17:2 Swahili Union Version (SUV)

Kwa hiyo hao watu wakateta na Musa, wakasema, Tupe maji tunywe. Musa akawaambia, Kwani kuteta na mimi? Mbona mnamjaribu BWANA?

Kut. 17

Kut. 17:1-5