Kut. 16:31 Swahili Union Version (SUV)

Na nyumba ya Israeli wakakiita jina lake Mana; nacho kilikuwa mfano wa chembe za mtama, nyeupe; na tamu yake ilikuwa kama tamu ya maandazi membamba yaliyoandaliwa kwa asali.

Kut. 16

Kut. 16:25-35