Utawaingiza, na kuwapanda katika mlima wa urithi wako,Mahali pale ulipojifanyia, Ee BWANA, ili upakae,Pale patakatifu ulipopaweka imara, BWANA, kwa mikono yako.