Ndipo Musa na wana wa Israeli wakamwimbia BWANA wimbo huu wakanena, na kusema,Nitamwimbia BWANA, kwa maana ametukuka sana;Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.