Kut. 14:19 Swahili Union Version (SUV)

Kisha malaika wa Mungu, aliyetangulia mbele ya jeshi la Israeli, akaondoka akaenda nyuma yao; na ile nguzo ya wingu ikaondoka hapo mbele yao, ikasimama nyuma yao;

Kut. 14

Kut. 14:12-21