Kut. 11:3 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akawapa watu hao kibali machoni pa Wamisri. Zaidi ya hayo, huyo Musa alikuwa ni mkuu sana katika nchi ya Misri, machoni pa watumishi wa Farao, na machoni pa watu wake.

Kut. 11

Kut. 11:2-8