Kut. 10:28-29 Swahili Union Version (SUV)

28. Farao akamwambia Musa, Nenda zako, ujiangalie, usinione uso tena; kwani siku hiyo utakayoniangalia uso wangu utakufa.

29. Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena.

Kut. 10