Kut. 1:22 Swahili Union Version (SUV)

Kisha huyo Farao akawaagiza watu wake, akisema, Kila mtoto mwanamume atakayezaliwa mtamtupa mtoni, na kila mtoto mwanamke mtamhifadhi hai.

Kut. 1

Kut. 1:19-22