Kut. 1:14 Swahili Union Version (SUV)

wakafanya maisha yao kuwa uchungu kwa kazi ngumu; kazi ya chokaa na ya matofali, na kila namna ya kazi ya mashamba; kwa kazi zao zote walizowatumikisha kwa ukali.

Kut. 1

Kut. 1:12-22