Kum. 9:10 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akanipa zile mbao mbili za mawe zimeandikwa kwa kidole cha Mungu; na juu yake yameandikwa maneno mfano wa yote aliyosema nanyi BWANA mle mlimani toka kati ya moto siku ya mkutano.

Kum. 9

Kum. 9:8-12