Kum. 6:11 Swahili Union Version (SUV)

na nyumba zimejaa vitu vyema vyote usizojaza wewe, na visima vimefukuliwa usivyofukua wewe, mashamba ya mizabibu na mizeituni usiyoipanda wewe, nawe utakula na kushiba;

Kum. 6

Kum. 6:1-19