Kum. 5:17-20 Swahili Union Version (SUV) Usiue. Wala usizini. Wala usiibe. Wala usimshuhudie jirani yako uongo.