Kumbuka siku za kale,Tafakari miaka ya vizazi vingi;Mwulize baba yako, naye atakuonyesha;Wazee wako, nao watakuambia.