Kum. 29:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Haya ndiyo maneno ya agano BWANA alilomwamuru Musa alifanye na wana wa Israeli katika nchi ya Moabu, pamoja na agano alilofanya nao Horebu.

2. Musa akawaita Israeli wote akawaambia, Mmeyaona yote BWANA aliyomfanya Farao katika nchi ya Misri mbele ya macho yenu, yeye na watumwa wake wote, na nchi yake yote;

3. yale majaribu makuu yaliyoyaona macho yako; hizo ishara, na ile miujiza mikuu;

Kum. 29