Kum. 28:53 Swahili Union Version (SUV)

Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa BWANA, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

Kum. 28

Kum. 28:43-59