Kum. 28:20 Swahili Union Version (SUV)

BWANA atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.

Kum. 28

Kum. 28:17-22