Kum. 27:17-19 Swahili Union Version (SUV)

17. Na alaaniwe aondoaye mpaka wa jirani yake. Na watu wote waseme, Amina.

18. Na alaaniwe ampotezaye kipofu akakosa njia. Na watu wote waseme, Amina.

19. Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe. Na watu wote waseme, Amina.

Kum. 27