Kum. 23:5 Swahili Union Version (SUV)

Lakini BWANA, Mungu wako, hakukubali kumsikiza huyo Balaamu; BWANA, Mungu wako, aliyageuza yale maapizo kuwa ni baraka, kwa vile alivyokupenda BWANA, Mungu wako.

Kum. 23

Kum. 23:1-8