Kum. 23:18 Swahili Union Version (SUV)

Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.

Kum. 23

Kum. 23:17-19