Kum. 22:7 Swahili Union Version (SUV)

sharti umwache yule koo aende zake, lakini makinda waweza kuyatwaa uwe nayo; ili upate kufanikiwa, ufanye siku zako kuwa nyingi.

Kum. 22

Kum. 22:1-8