Kum. 22:28-30 Swahili Union Version (SUV)

28. Mtu mume akimwona kijana aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana;

29. yule mtu mume aliyelala naye na ampe baba yake yule kijana shekeli hamsini za fedha, kisha na awe mkewe, kwa kuwa amemtweza; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.

30. Mtu mume asimtwae mke wa baba yake, wala asifunue ncha ya mavazi ya baba yake.

Kum. 22