Kum. 2:8 Swahili Union Version (SUV)

Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waketio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi.Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.

Kum. 2

Kum. 2:1-16