Kum. 18:21-22 Swahili Union Version (SUV)

21. Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA?

22. Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope

Kum. 18