Kum. 15:12 Swahili Union Version (SUV)

Ikiwa nduguyo, mume wa Kiebrania, au mwanamke wa Kiebrania, akiuzwa kwako, naye amekutumikia miaka sita; basi mwaka wa saba mwache huru aondoke kwako.

Kum. 15

Kum. 15:6-21