Kum. 15:10 Swahili Union Version (SUV)

Mpe kwa kweli, wala moyo wako usisikitike utakapompa; kwa kuwa atakubarikia BWANA, Mungu wako, kwa neno hili katika kazi yako yote, na katika kila utakalotia mkono wako.

Kum. 15

Kum. 15:5-16