Kum. 14:14-18 Swahili Union Version (SUV)

14. na kila kunguru kwa aina zake;

15. na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;

16. na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa;

17. na mwari, na nderi, na mnandi;

18. na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo.

Kum. 14