Kum. 12:31-32 Swahili Union Version (SUV)

31. Usimtende kama haya BWANA, Mungu wako; kwani kila yaliyo machukizo kwa BWANA, ayachukiayo yeye, wameifanyia miungu yao; kwa maana hata wana wao na binti zao huiteketezea hiyo miungu yao ndani ya moto.

32. Neno niwaagizalo lo lote liangalieni kulifanya; usiliongeze, wala usilipunguze.

Kum. 12