Kum. 11:4 Swahili Union Version (SUV)

na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi zao, na magari yao; na alivyowafunikiza maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandamia, na alivyowaangamiza BWANA hata hivi leo;

Kum. 11

Kum. 11:1-10