Kum. 10:4 Swahili Union Version (SUV)

Naye akaandika juu ya mbao mfano wa maandiko ya kwanza, zile amri kumi, alizowaambia BWANA huko mlimani toka kati ya moto siku ya mkutano; BWANA akanipa.

Kum. 10

Kum. 10:1-9