Kol. 3:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.

25. Maana adhulumuye atapata mapato ya udhalimu wake, wala hakuna upendeleo.

Kol. 3